UONGOZI wa Singida Black Stars umemalizana na aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Namungo, Omar Kaya ambaye amejiunga na timu hiyo kuongeza nguvu katika uongozi akipewa
Month: October 2024
Dar es Salaam. Serikali imeombwa kuendelea kushirikiana na wadau kuwawezesha watoto wenye changamoto ya ulemavu wa akili na mtindio wa ubongo ili kupata ujuzi kuwawezesha
Baada ya kusota katika mechi tano mfululizo bila ya ushindi, hatimaye Tanzania Prisons imeona mwezi kwa kuonja pointi tatu za kwanza kwa kuikanda Fountain Gate
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza ongezeko la makusanyo ya kodi kwa asilimia 15 kati ya Julai na Septemba 2024 ikilinganishwa na
Shirikisho la Kikapu Tanzania (TBF) limesema timu 16 zinatarajia kushiriki katika mashindano ya Ligi ya Kikapu ya Taifa (NBL) kuanzia Novemba, mwaka huu katika viwanja
Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya jitihada zinazochukuliwa na Serikali kuboresha huduma za afya kwa wananchi bado kuna changamoto ya utoaji huduma, hivyo
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango kwa wafanyabiashara,wenye viwanda na wananchi kwa ujumla katika Maonesho ya
UKUBWA wa timu ya Vijana Queens katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), ulionekana katika mchezo dhidi ya DB Troncatti baada ya
Dodoma. Je, Kenya kupata Naibu Rais mwanamke? ndivyo inavyoelekea kwa kuwa jina linalotarajiwa kumrithi Naibu Rais Rigathi Gachagua iwapo ataondolewa kwenye nafasi hiyo ni Gavana
BAADA ya wikendi hii kushuhudia mechi mbalimbali zikipigwa sasa ni muda wa ligi ya mabingwa Ulaya ambapo timu nyingi kuchezwa leo huku nafasi yako ya