Arusha. Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Masjala Ndogo ya Mtwara, imewahukumu kifungo cha miaka 20 jela washitakiwa wanne baada ya
Month: October 2024
KOCHA wa Bigman, Salhina Mjengwa amesema hawajapoteza matumaini kwenye Ligi ya Championship licha ya kuambulia pointi moja katika michezo miwili akiahidi kutafuta suluhu kwenye uwanja
Assange amesema aliachiwa huru baada ya miaka mingi kifungoni pale alipokiri makosa ya kuwa “mwandishi wa habari”, katika hotuba yake amesisitiza na kuonya kwamba uhuru
Musoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Tarime Rorya linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari ya Sirari iliyopo wilayani Tarime,
Maafisa wa jeshi la Israel wamesema oparesheni ya ardhini nchini Lebanon inahusisha uvamizi kwenye maeneo machache ambayo wanasema ni kitisho kwa usalama wa Israel. Wanajeshi
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India Nchi Tanzania Mhe.Bishwadip Dey na ujumbe wake katika Ofisi
Dar es Salaam. Kwa wanaokunywa kahawa leo ni siku yao maalumu ya kujipongeza kwani dunia inaadhimisha Siku ya Kahawa. Kila mwaka ifikapo Oktoba mosi dunia
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimpa zawadi mtoto aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa maalumu (VIP Ward) ikiwa ni
WANAFUNZI 3,000 wanatarajiwa kujiunga na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), kampasi ya Geita, iliyopo mtaa wa Mlimani, kata ya Muungano, wilayani Chato. Anaripoti
Musoma. Watu wawili wamefariki dunia baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama kwenye Ziwa Victoria katika Kijiji cha Burere wilayani Rorya Mkoa wa Mara, huku wengine