Nchi ya Tanzania pamoja na Afrika ya Kusini zimeingia makubaliano kushirikiana katika teknolojia ya anga wakati nchi ikijiandaa kurusha satelaiti yake ya kwanza mwaka 2026.
Month: October 2024
Jopo la majaji watatu likiongozwa na Eric Ogola aliyeshirikiana na Anthony Mrima na Freda Mugambi, lilifutilia mbali amri hiyo iliyomzuwia naibu wa rais mteule Kithure
Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Kazi (UNRWA) ndilo shirika kubwa zaidi la misaada katika Ukanda wa Gaza ambapo linatoa msaada wa dharura
Zeit Online Zeit Online limeangazia tahadhari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, kuhusu madhara ya ongezeko la machafuko nchini Sudan. Limemnukuu
Na WMJJWM, Dodoma. Serikali imejidhatiti kutatua changamoto zinazowakumba vijana balehe kwa kuweka mazingira salama na rafiki kwa vijana kupitia afua mbalimbali zinazowawezesha vijana kufikia malengo
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi utabiri wa mvua za msimu kwa maeneo yanayopata mvua mara moja kwa mwaka. Maeneo hayo
Dkt. Jafo ktk Mkutano wa COMESA. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani S. Jafo leo tarehe 31 Oktoba 2024 amemuwakilisha Dkt. Samia Suluhu
Na Mwandishi Wetu. Michuzi tv MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa mvua za Msimu kwa maeneo yanayopata msimu mmoja wa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taasisi yoyote ambayo inahitaji kutwa ardhi ambapo wananchi wanaishi au wanafanya shughuli mbalimbali za maendeleo lazima iwe imetenga bajeti ya
UNAWEZA kuibuka mshindi wa mamilioni leo kwa kucheza mchezo pendwa wa kasino kwasasa unaofahamika kama Beach Penalties, Mchezo huu umegeuka kua mchezo pendwa kwa wateja