RAIS SAMIA AKUTANA NA MANUSURA WA AJALI YA BASI LA SHULE YA LUCKY VINCENT.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Sadhia Abdallah_ wapili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia)_ Wilson Tarimo wapili (kushoto), watoto hawa  watatu ni manusura wa ajali ya basi la shule ya msingi Lucky Vincent iliyoua wanafunzi 32 na dereva mmoja mnamo mei 6, 2017 eneo la Rothia wilayani Karatu Mkoani Arusha

Mwenyezi Mungu amewajalia heri wamekuwa wakubwa sasa wapo nchini Marekani wakiendelea na masomo ya Elimu ya Juu katika Vyuo Vikuu tofauti.


Related Posts