MATUKIO KATIKA PICHA NAIBU KATIBU MKUU ZUHURA YUNUS ATEMBELEA MABANDA YA WAJASIRIAMALI SUDAN KUSINI

 

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus akitembelea mabanda ya wajasiriamali wa Tanzania katika Maonesho ya 24 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika jijini Juba nchini Sudan Kusini leo Novemba 2, 2024.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus akizungumza na baadhi ya Watendaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) alipotembelea banda la Mfuko huo katika Maonesho ya 24 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika jijini Juba nchini Sudan Kusini leo Novemba 2, 2024.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus akizungumza na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati (CISO Tanzania), Josephat Rweyemamu walipokutana katika Maonesho ya 24 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazi au Jua Kali yanayofanyika jijini Juba, Sudan Kusini.

Related Posts