KIPA wa Tanzania Prisons, Mussa Mbisa ameelezea uzoefu wa kukaa langoni umempa akili kwamba kuna wakati anakumbana na mipira yenye kasi tofauti, anapokuwa katika harakati za kulinda timu isifungwe na bahati mbaya hutokea makosa yanayoigharimu bila kutarajia.