Teleza na ODDS za kibabe na Meridianbet leo

 

Baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa, halikadhalika na leo ni kama kawaida kuna mitanange ya kukata na shoka. Tengeneza jamvi lako sasa na Meridianbet.

EPL leo kuna balaa mbili kwenye viwanja viwili tofauti, pale Tottenham Hotspur kutakuwa na mbungi kali kati ya Spurs vs Aston Villa ambao wanafukuzia nafasi 4 za juu. Ange na vijana wake walipoteza mechi iliyopita huku Villa wao wakilazimishwa sare. Nafasi kubwa ya kushinda anapewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.90 kwa 3.70. Jisajili hapa.

Huku Uingereza leo ikitamatishwa na mechi ya viwango kabisa katika dimba la Old Trafford ambapo Manchester United atakipiga dhidi ya Chelsea mchezo ambao utapigwa majira ya saa 1:30 usiku. Mechi ya mwisho kukutana The Blues walishinda. Je leo hii Mashetani Wekundu watalipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 2.60 kwa 2.60. Bashiri hapa.

Mkwanja upo nje nje na Meridianbet siku ya leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

LALIGA pia leo hii mechi za maana zipo Atletico Madrid atamualika kwake UD Las Palmas ambao wapo nafasi ya 18 kutoka kwenye msimamo wa ligi. Diego Simeone na vijana wake wanahitaji ushindi wa leo wasogee nafasi ya 3 kutoka ya 5, wakati wageni wao wanataka kulipa kisasi baada ya kuchapika vibaya sana kwenye mechi iliyopita. ODDS za mechi hii ni 1.30 kwa 10. Suka jamvi hapa.

Nao FC Barcelona baada ya kupata ushindi mzito mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Espanyol Barcelona ambao wameshinda mechi 3 pekee kati ya 11 walizocheza. Hans Flick anahitaji ushindi leo kuendelea kujikita kileleni zaidi. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.

Real Betis ugenini dhidi ya Athletic Bilbao huku timu hizi zikiwa zimefatana kwenye msimamo wa ligi na kufanana pointi, yani wote wana pointi 18. Mara ya mwisho kukutana Betis alishinda. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. Mechi hii ina ODDS 1.93 kwa 4.20. Bashiri hapa.

Vilvile ligi kuu ya Italia SERIE A inaendelea leo mapema kabisa Napoli atakiwasha dhidi ya Atalanta. Conte na vijana wake ndio vinara wa ligi huku mgeni wake akiwa nafasi ya 4. Naples wanaingia dimbani leo wakikumbuka kichapo cha mwisho walipokutana. Je leo hii watalipa kisasi kwa ODDS 2.21 kwa 3.45. Jisajili hapa.

Nao Torino baada ya kuchapwa mechi iliyopita leo hii watamenyana dhidi ya ACF Fiorentina ambao wao walishinda mechi yao iliyopita. Ni suluhu iliyopatikana kwenye mechi ya mwisho kukutana. Je leo hii pointi 3 zitaenda kwa nani?. 3.35 kwa 2.25 ndio ODDS za mechi hii.

Huku baadae mabingwa watetezi Inter Milan watakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Venezia ambao wameshinda mechi mbili kati ya 10 walizocheza. Meridianbet wamewapa vijana wa Inzaghi nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.20 kwa 14. Bashiri hapa.

Pia pesa nyingine itakuwa hapa kwenye mechi za BUNDESLIGA ambapo SC Freiburg baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo atamkaribisha FSV Mainz ambaye alitoa sare. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 huku mechi ya mwisho kukutana, hakuna mabaye alikuwa mbabe. Mwenyeji akishinda leo atapanda haid nafasi ya 3 kutoka ya 6. Je mgeni atamzuia.?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.72 kwa 4.80.

Na mechi ya mwisho leo Ujerumani ni hii inayowakutanisha kati ya Borussia Monchegladbach dhidi ya Werder Bremen ambapo kinachowatofautisha kati yao ni pointi 2 pekee. Meridianbet wameamua kumpa mwenyeji nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.17 kwa 3.10. Jisajili hapa.

Ongezea pesa yako kwa kubashiri  mechi za LIGUE 1 kule Ufaransa ambapo Toulouse atamenyana dhidi ya Stade Reims ambao walipokea kipigo mechi yao iliyopita. Mechi ya mwisho walipokutana mgeni alipoteza. Je leo anaweza kulipa kisasi ugenini?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.95 kwa 4.00.

Wakati AJ Auxerre wao watasaka pointi 3 dhidi ya Stade Rennes ambao walishinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 13 na mgeni yupo nafasi ya 11, huku gepu likiwa ni alama moja pekee. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.30 kwa 2.16. Suka jamvi hapa.

Usiku kabisa Nantes kuchuana vikali dhidi ya Marseille  ambao wanapendelea kushinda mechi ya leo wakipewa ODDS 2.05 kwa 3.65, wakati mwenyeji yeye akiingia dimbani leo akikumbuka kupotea mechi iliyopta hivyo pinti 3 ni muhimu kwake. Jisajili hapa.

About The Author

Related Posts