Grace Mapunda kuzikwa leo – Millard Ayo

Tayari mwili wa Mwigizaji Mkongwe Grace Mapunda ukiwa Nyumbani kwake Sinza Vatican kwaajili ya ibada fupi itakayofanyika Nyumbani hapo kisha Baadae kuelekea leaders mahali ambapo zitafanyika shughuli za mazishi ikiwemo kuaga Kisha kupelekwa makaburi ya Kinondoni kwaajili ya maziko

 

 

Related Posts