Picha ;Namna Mbappe alivyosherehekea birthday ya Hakimi

Kylian Mbappe alitumia Instagram kusherehekea miaka 26 ya kuzaliwa kwa rafiki yake wa karibu Achraf Hakimi kitofauti.

Mbappe alishiriki picha kadhaa zinazoangazia urafiki wao, ikiwa ni pamoja na picha ya kukumbukwa wakiwa pamoja kwenye Kombe la Dunia la 2022.

Alisema “Happy birthday brother. Wish you the best as always. Love you. ❤️”

Related Posts