Meridianbet Foundation leo imetimiza miaka mitano ya kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii kupitia kwa kufanya udhamini wa kielimu (Scholarship) kwa vijana ambao wamekua wakifanya vizuri mashuleni.
Meridianbet kupitia Foundation yake kwa miaka yote mitano wamekua wakihakikisha wanawasaidia vijana mbalimbali ambao wamekua wakifanya vizuri kimasomo na kugharamikia gharama zote za kielemu kwajili ya kuhakikisha vijana hao wanafanikiwa kielemu na kimaisha.
Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri ambao wana usimamizi katika nchi 17 barani ulaya, Afrika, na Amerika Kusini wamekua wakijitahidi wanaigusa jamii yake katika kila nchi ambayo wamekua wakifanya kazi.
Meridianbet kupitia Foundation yake hawaangalii suala la ufaulu darasani tu japo ni kipaumbele lakini pia wanavutiwa na vijana ambao wamekua wakijituma katika masuala ya kijamii kama utunzaji wa maeneo ya umma, uchakataji taka, na ulinzi wa mazingira hii ikionesha vijana hao sio tu kupata elimu lakini wanaandaliwa kua wawajibikaji wazuri wa jamii zao.
Kupitia Meridianbet Foundation vijana hawapewi elimu ya shuleni tu lakini pia wanafundishwa namna ya kuyajua masoko, Lakini pia namna ya kuendana dunia ya kisasa kwa maana ya kupewa elimu ya teknolojia ili waweze kwenda sawa na soko linavyotaka.
Leo kuna mkwanja wa kutosha kupitia michuano ya ligi ya mabingwa ulaya ambao itapigwa michezo kadhaa mikali na imepewa Odds bomba pale kwenye tovuti ya Meridianbet, Weka jamvi lako sasa kupitia michezo hii ushinde mamilioni.
Wanufaika wa Meridianbet Foundation wamekua wakizungumza namna ambavyo taasisi hiyo imegusa maisha yao kwanza kuwasaidia kielimu, Lakini pia kuwaandaa kukabiliana na maisha ya mtaani baada ya kumaliza elimu zao hii ikionesha namna taasisi hiyo imekua nguvu kwao.