Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni ya Vodacom, Abednego Mhagama akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni ishirini kwa mshindi wa kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi Bi. Beth Mayunga kutoka Mbeya mnamo tarehe 5 Novemba 2024 katika hafla iliyofanyika katika duka la Vodacom jijini Mbeya. Beth pia amepata nafasi ya kuchagua shule ambayo Vodacom watasaidia kwa kukarabati maktaba ili kukamilisha adhma ya kusaidia serikali katika kuboresha elimu nchini.