Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kutumia siku tatu kutafuta wawekezaji kutoka nchi ya Saudi Arabia ambao watakuwa tayari kuweka fedha zao katika sekta saba ikiwemo
Day: November 7, 2024
Dodoma. Wakati Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina akirejea bungeni na kuonyesha uwepo wake, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amembananisha kuhusu kauli yake kuwa
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Vijana 1,000 walio mtaani ambao hawasomi wanatarajia kunufaika kiuchumi kwa kupata stadi za maisha, elimu ya kusimamia biashara na ujasiriamali, kukuza
Na Esther Mnyika, Pwani Wakulima wadogo wa mpunga nchini wametakiwa kushirikiana na wataalamu wa kilimo walioko kwenye ngazi ya vijiji na kata, ikiwemo maafisa kilimo
Dar es Salaam. Serikali imesema inatarajia kuwa na mashahidi 10 katika kesi ya kujipatia Sh661 milioni kwa njia ya udanganyifu inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya
Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesema haliridhishwi na mwenendo wa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa
Dar es Salaam. Zaidi ya washiriki 1,000 wakiwemo wafanyabiashara, wachimbaji wa madini wakubwa na wadogo wanatarajia kuhudhuria kongamano la kimataifa la madini linalotarajiwa kufanyika kwa
Dar es Salaam. Uhaba wa wataalamu wa kuendesha mitambo mikubwa ya migodini imetajwa kuwa changamoto inayoikabili sekta ya uchimbaji madini kwa sasa nchini. Hali hiyo
Arusha. Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amewafukuza ukumbini maofisa watatu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwenye semina ya