Alhamisi ni kwaajili ya mechi za EUROPA na leo hii kuna mechi zaidi ya 10 ambazo zinaenda kukupatia mkwanja wa maana. Usipitwe na ODDS KUBWA ndani ya Meridianbet, beti sasa.
Suka jamvi lako kwenye mechi ya Galatasaray vs Tottenham Spurs ambapo timu hizi zimetofautina pointi 2 pekee mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake nafasi ya 2. Nafasi ya kushinda leo hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 2.25 kwa 2.95. Wewe beti yako unampa nani?. Jisajili hapa.
Pia naye Frankfurt atamkaribisha Slavia Prague baada ya kupata ushindi mwembamba mechi yake iliyopita. Wakati mgeni yeye akipoteza mechi yake iliyopita. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.80 kwa 4.10. Bashiri sasa.
ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia unaweza kucheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vilevile katika dimba la Nationala, FCSB atamkaribisha kwake FC Midtjyland ambaye ana pointi 7 kwenye msimamo hadi sasa na yeye akiwa na pointi 6. Wote wanagombani pointi 3 muhimu leo huku wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wakimpendelea mgeni kushinda kwa ODDS 2.30 kwa 3.15. Jisajili hapa.
Nice kutoka kule Ufaransa atakipiga dhidi ya FC Twente ambapo timu zote hazijashida mechi yoyote hadi sasa kati ya 3 walizocheza. Mwenyeji ametoa sare moja pekee na mgeni yeye akitoa sare mbili. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.77 kwa 4.50.
Mechi kali nyingine ni hii ya AS Roma ambaye atakuwa ugenini dhidi ya Union Saint-Gilloise ambaye ana pointi moja pekee kwenye mechi zake ambazo kacheza. Vijana kutoka Italia wao wana pointi 4 hadi sasa. Je beti yako unaipeleka wapi kwa hawa wawili?. 2.95 kwa 2.55 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Manchester United atakuwa Old Trafford kupepetana dhidi ya PAOK kutoka kule Ugiriki ambao mpaka sasa wana pointi moja pekee. Wakati United wao wana pointi 3 kwani mechi zote tatu ambazo wamecheza wametoa sare. Je Mashetani Wekundu wanaweza kupata ushindi wa kwanza leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.25 kwa 11.
Shuhudia mtanange mwingine mkali kati ya Lazio Rome vs Porto katika dimba la Olimpico. Ikumbukwe kuwa mwenyeji ndiye kinara kwenye msimamo akiwa ameshinda mechi zake zote 3 alizocheza hadi sasa. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.50 kwa 2.95. Suka jamvi hapa.
Nao Ajax kutoka kule Uholanzi watamenyana dhidi ya Maccabi Tel Aviv ambao wamepigika mechi zote tatu ambazo wamecheza hadi sasa. Mwenyeji yeye 7 hivyo leo hii anatafuta ushindi mwingine azidi kupanda juu. Je Maccabi atakubali kuchapika mara ya 4?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa.