MSHINDI WA ‘NI BALAA’ AKIZAWADIWA HUNDI YAKE NA VODACOM

 

 

 

 

Meneja Mauzo na Mkakati wa Biashara wa kanda ya Dar es Salaam na Pwani Caleb Majo (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa Tsh 20m wa Ni Balaa! Kila mtu ni mshindi kwa kanda hiyo Abdulfadhili Birro, ambaye pamoja na kiasi hicho cha pesa, mshindi huyo atapata nafasi ya kuchagua shule ya msingi itakayoboreshewa mazingira ya kusomea (maktaba) ili kuwawezesha wanafunzi wa shule hiyo kusoma kwa utulivu zaidi.

Related Posts