Legend Tour yapasua Babati – Millard Ayo

Wakali wa Bongo fleva Tanzania, wamewaburudisha wakazi mbalimbali wa Babati Manyara kupitia tamasha la Legends Tours lililoandaliwa na Bongo Records ambalo linazunguka mikoa mbalimbali lililoanzia Moshi na Arusha.

 

Burudani hiyo imejumuisha Wakongwe wa Bongo Fleva kama Afande Sele, Daz Baba, Ferooz, Soggy Doggy, Jaymoe, Juma nature, Matonya, Domokaya, Inspector Haroun na wengine wengi na wanatarajiwa kuwafikia mashabiki wao kwenye mikoa Mingine ambayo itatangazwa Baadae.

Related Posts