TCAA YATOA ELIMU KATIKA MKUTANO WA 8 WA JUKWAA LA WAHARIRI


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim Msangi amewasilisha taarifa ya utendaji ya TCAA katika Mkutano wa 8 wa Jukwaa la Wahiriri unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 06- 09, 2024 katika ukumbi wa NSSF Mafao House- Ilala.

Mkutano Wahariri walipata kuyafahamu Zaidi majukumu ya TCAA na kuuliza maswali ambayo yalijijibwa na Mkurugenzi Mkuu pamija na wataalam wa Mamlaka walioambatana naye.

Huu ni muendelezo wa TCAA kuutambua na kushirikiana na wana Habari ambao ni wadau muhimu katika sekta ya Usafiri wa Anga nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim Msangi akipokea cheti cha udhamini kutika kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania ( TEF), Deodatus Balile  wakati wa  Mkutano wa 8 wa Jukwaa la Wahiriri unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 06- 09, 2024 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim Msangi akiwasilisha taarifa ya utendaji ya TCAA katika Mkutano wa 8 wa Jukwaa la Wahiriri unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 06- 09, 2024 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania ( TEF), Deodatus Balile akitoa neno la ukaribishi kwa viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Salim Msangi  katika Mkutano wa 8 wa Jukwaa la Wahiriri unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 06- 09, 2024 
Baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakiuliza maswali mara baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim Msangi kuwasilisha taarifa ya utendaji ya TCAA katika Mkutano wa 8 wa Jukwaa la Wahiriri unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 06- 09, 2024 
Mkutano ukiendelea

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim Msangi akijibu baadhi ya maswali yaliyokuwa yanaulizwa na Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya kuwasilisha taarifa ya utendaji ya TCAA katika Mkutano wa 8 wa Jukwaa la Wahiriri unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 06- 09, 2024 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Bw. Salim Msangi akisalimiana na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania ( TEF), Deodatus Balile  nmara baada ya kuwasili kwenye  Mkutano wa 8 wa Jukwaa la Wahiriri unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 06- 09, 2024 
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamkala hiyo Bw. Salim Msangi wakiwa kwenye picha ya pamoja 

Related Posts