Dar es Salaam. Wakati Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi wa tukio la kutaka ‘kutekwa’ kwa mfanyabiashara, Deogratius Tarimo, mijadala imeibuka juu ya hali ilivyokuwa
Day: November 13, 2024
Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amesema dhamira imara ya kisiasa katika ngazi zote za kitaifa na kikanda ni muhimu katika kuondoa
Suluhu za kifedha kwa Kusini mwa ulimwengu ziko chini ya uangalizi wakati wa COP29. Credit: UN Climate Change/ Habib Samadov na Umar Manzoor Shah (baku)
Dar es Salaam. Hatua ya Tamisemi kuongeza simu mbili kusikiliza rufaa za walioenguliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa imewaibua wadau wa uchaguzi huo wakitaka
Dar es Salaam. Wakulima wa Tumbaku 2,226 kutoka Vyama vya Msingi 22 (AMCOS) mkoani Tabora waliokuwa na mikopo ya Benki ya NMB wamelipwa fidia zao
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAHARAKATI wa Jinsia na Maendeleo wameiomba Serikali kuingilia kati na kutatua changamoto zinazowakabili wanawake katika sekta ya afya, uchumi, na
Dar es Salaam. Tanzania imewahakikishia mabalozi wa mataifa ya kigeni nchini kuhusu uthabiti wa hali ya kisiasa, ufanisi wa mfumo wake wa kodi na uwekezaji,
SIMBA Queens leo imetoa kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Yanga Princess na kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi ya Wanawake ikiwa na pointi 12.
Dar es Salaam. Jumla ya wagombea 13 akiwamo mwanahabari, Ebeneza Mende wamejitosa katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa naibu katibu mkuu wa Shirikisho la Vyama vya
Na Oscar Assenga, TANGA. BONDIA wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa