Wahariri wa vyombi vya habari wapitishwa kwenye Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Wito wa Waziri wa Nchi OR – TAMISEMI Mohamed Mchengerwa alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari Tanzania kujadiliana nao masuala kadha wa kadha pamoja na kujibu hoja zao kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.

Pamoja na masuala mengine Wahariri hao kutoka vyombo mbalimbali vya habari wamepata wasaa wa kupitishwa kwenye Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Semina hiyo ya siku moja ya masuala ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 iliyofanyika katika ukumbi wa Anatologo jijini Dar es Salaam imeandaliwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI.

Related Posts