Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
Day: November 14, 2024
Mwanza. Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili
Unguja. Katika kupambana na janga la ogezeko la ajali za barabarani, Zanzibar imeendelea kubuni mikakati, safari hii kwa mara ya kwanza itaanza kuadhimisha wiki ya
Pemba. Kutokana na kilio cha wananchi kisiwani Pemba cha kuzuiwa kuchimba mawe, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeondoa zuio hilo lakini ikiwataka kuzingatia utaratibu
Dar es Salaam. Ni kawaida kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kujitokeza hadharani kukanusha hoja zinazoibuliwa na makada wake. Safari hii chama
Wenyeviti-wenza wa Lengo Jipya la Pamoja la Kukaguliwa (NCQG) wamefika katika misingi inayoweza kutekelezeka kwa ajili ya majadiliano juu ya lengo kuu la fedha la
Dar es Salaam. Karibu asilimia 67 ya Watanzania wanaamini kuwa nchi inaelekea kwenye mwelekeo sahihi na idadi kubwa inatarajia uchumi kuimarika katika miezi 12 ijayo,
Dar es Salaam. Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), imeainisha kasoro tano ilizozibaini katika mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji kuanzia uandikishaji
Arusha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amewaomba radhi watu wote ambao amegombana nao katika kipindi cha uchaguzi
Mwanza. Ugonjwa wa pumu ya ngozi unatajwa kuwa kinara wa magonjwa ya ngozi yanayowatesa wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Takwimu zinaonyesha wastani wa