DKT Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo wa Roulette ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jamaa alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna ya kipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo ya Kamari anakumbukwa.
American Roulette sawa na michezo mingine ya Roulette unapatikana Meridianbet kwenye kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Microgaming kwa kushirikiana na Switch Studios, wachezaji na wadau wa kasino ya mtandaoni wanathamini urahisi na ufanisi wa mchezo huu wa roulette.
Kitu pekee kinacho tofautisha American roulette na michezo mengine ya roulette kutoka kasino ya mtandaoni ni uwepo wa namba mbili za sufuri (00) kwenye gurudumu.
Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni mchezo wa RNG (Random Number Generator), ikimaanisha hakuna mchezeshaji laivu. Mchezo unabadilika kwa urahisi kati ya ubao wa kuweka dau na kuonyesha gurudumu linalozunguka.
Lakini pia American Roulette una (00) tofauti na Roulette nyingine zenye sifuri moja, kigine ni uwepo wa namba 38 badala ya 37. Kuna namba thelathini na sita za kawaida, zilizopambwa kwa rangi nyekundu na nyeusi, pamoja na sufuri mbili. Sufuri moja ni kijani, na nyingine ni sufuri mbili kijani.
HATUA KWA HATUA MPAKA USHINDI.
Unapoanza kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unapaswa kuchagua sarafu unayotaka kutumia kutoka kwenye safu na uiweke kwenye ubao. Pia kuna kitufe cha race track kinachopatikana kusaidia dau za majirani.
Mchezo huu pia una kitufe cha X2 Double, ambacho kinadondosha dau lako mara mbili kwa kubonyeza tu. Kushinda mchezo, unaweza kuweka Inside Bets au Outside Bets, pamoja na kubeti namba jirani.
Ingia mchezoni uonje raha na utamu wa roulette hii pendwa inayopatikana Meridianbet kasino ya mtandaoni kupitia www.meridianbet.co.tz