Stamina aachia Album yake mpya ‘Msanii bora wa Hip Hop’

Ikiwa Leo November 14, 2024, Mkali kutokea Hip Hop, Stamina anasherehekea siku yake ya kuzaliwa sasa ameamua Pia kuachia Album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Msanii bora wa Hip Hop’

Album hiyo ina nyimbo 17 huku amewashirikisha wasaniii akiwemo Linah, Kusah, Ferouz, Dully Sykes, Stars Thomas, Mwasiti na wengineo.

Unaweza ukabonyeza hapa link>>>

https://www.boomplay.com/embed/100940449/COL

 

 

Related Posts