Mjerumani amrithi Gamondi Yanga – Mtanzania

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Yanga imemtangaza kocha Sead Ramovic raia wa Ujerumani kuchukua nafasi ya Miguel Gamond.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45, alikuwa akikinoa kikosi cha Ts Galaxy ya Afrika Kusini tangu mwaka 2021-2024.

Miguel Gamond

Uongozi wa ulitanga leo Novemba 15,2015, kumfuta kazi Gamondi pamoja na kocha msaidizi, Moussa Ndaw.

Related Posts