Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya jengo moja la ghorofa lililopo Kariakoo Mtaa wa Masimbazi jijini Dar es Salaam kuporomoka.