|
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akitoa hotuba yake alipokuwa akifunga rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC lililowashirikisha zaidi ya wadau wa elimu 300 kutoka ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Kongamano hilo lililofanyika kwa siku tatu mfululizo tangu Novemba 12 hadi 14, 2024 limemalikika hoku likitoka na maadhimio ambayo yatafikishwa kwa mamlaka husika pamoja na wadau wa elimu kwa hatua za utekelezaji. |
|
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akitoa hotuba yake alipokuwa akifunga rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC lililowashirikisha zaidi ya wadau wa elimu 300 kutoka ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Kongamano hilo lililofanyika kwa siku tatu mfululizo tangu Novemba 12 hadi 14, 2024 limemalikika hoku likitoka na maadhimio ambayo yatafikishwa kwa mamlaka husika pamoja na wadau wa elimu kwa hatua za utekelezaji. |
|
Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu ambao ni waratibu wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) akizungumza katika hafla ya ufungaji kongamano hilo la elimu bora kimataifa lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
|
Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu akisisitiza jambo katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
|
Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala ambao ni waratibu wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) akizungumza katika hafla ya ufungaji kongamano hilo la elimu bora lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. |
|
Mgeni rasmi Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda na meza kuu wakiwa katika hafla ya ufungaji rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC. |
|
Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala ambao ni waratibu wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) akizungumza katika kongamano hilo la elimu bora lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. |
|
Sehemu ya washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC wakiwa katika majadiliano kwenye vikao mbalimbali vilivyokuwa vikifanyika pembezoni mwa mkutano huo. |
|
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (katikati) akizungumza jambo na wenyeji wake, Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (kushoto) pamoja na Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala (kulia) mara baada kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) |
|
Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu (kulia) akisisitiza jambo katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) lililofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amefunga rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC lililowashirikisha zaidi ya wadau wa elimu 300 kutoka ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Kongamano hilo lililofanyika kwa siku tatu mfululizo tangu Novemba 12 hadi 14, 2024 limemalikika hoku likitoka na maadhimio ambayo yatafikishwa kwa mamlaka husika pamoja na wadau wa elimu kwa hatua za utekelezaji.
Kongamano hilo lililofunguliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa lemefanikiwa kuwakutanisha pamoja wadau toka serikalini, watunga sera, wanazuoni, wanafunzi, waalimu, watafiti, mashirika ya umma na binafsi na asasi za kiraia kujadili masuala ya elimu.
Wadau hao wa elimu wamefanikiwa kujadili hali ya ubora wa elimu kwa kubadilishana mawazo na uzoefu, kisha kujengeana mikakati ya kuboresha utoaji wa elimu nchini na kwingineko barani Afrika.
|
Mkurugenzi wa Miradi na Ushirikiano kutoka Camfed Tanzania, Anna Sawaki akiwasilisha mijadala mbalimbali kwenye Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) linalofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC). |
Akizungumza nje ya mkutano huo, Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala ambao ni waratibu wa mkutano huo, alisema kongamano hilo la elimu mwaka huu, dhamira kuu ilikuwa kuimarisha mifumo ya elimu nchini kulingana na mabadiliko ya haraka yanayoendelea duniani hasa yale ya kisayansi na kitekinolojia.
|
Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu ambao ni waratibu wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC) akifuatilia hotuba ya mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji wa mkutano huo. |
|
Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akizungumza jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda alipowasili kufunga rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TenMeT), Bi. Faraja Nyalandu akifuatilia. |
|
Sehemu ya washiriki wa Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC wakiwa katika mijada kwenye vikao mbalimbali vilivyokuwa vikifanyika pembezoni mwa mkutano wa IQEC. |