MONGELLA MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MBEYA

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu John V. K Mongella anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mkoa wa Mbeya tarehe 20 Novemba 2024 uzinduzi utakaofanyika katika Uwanja wa Kabwe.


Related Posts