PICHA :Ibada ya mazishi ya mzee King Kikii Leaders

Kutoka Leaders Muda huu ibada na shughuli za mazishi ya mwanamuziki Mkongwe mzee King Kikii, zikiendelea ambapo Waziri wa Utamaduni sanaa na Michezo Dkt Ndumbaro akiwaongoza watu na wadau Mbali Mbali waliojitokeza kumuaga…

Mzee King Kiki anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni majira ya Saa 10 Jioni

Related Posts