Ujumbe wa Naibu Waziri Maryprisca, atoa salamu za Pole kufuatia Ajali ya Kariakoo

Kutoka Ofisi ya Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi inatoa pole kwa ndugu, jamaa na watanzania wote kwa Ujumla kufuatia ajali ya kuporomoka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo Jijini DAR ES SALAAM lililotokea November 16, 2024

Akizungumza na Millardayo.com Waziri huyo alísela ‘Nimepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa Ajali ya kuporomoka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki, Mwenyezi Mungu akawape faraja Katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na wapendwa wenu’

Related Posts