Watanzania waungana kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya jengo Kariakoo

Taratibu ya kuaga miili ya watu waliofariki kwenye ajali ya jengo lililoanguka Novemba 16 Kariakoo Jijini Dar es Salaam yanaendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja licha ya kuwepo na hali ya mvua.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa na viongozi wengine wameungana na Watanzania kuaga miili ya wapendwa wetu .

 

Related Posts