Vodacom Tanzania Plc imezindua duka lake jipya (Vodashop) katika stesheni ya SGR iliyopo mkoani Dodoma huku ikiwa na mpango wa kufungua duka lingine mkoani Morogoro.
Day: November 20, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa Mkutano huo. …….. Wadau mbalimbali wa mkoa wa Morogoro
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
MKUU wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva amekimwagia sifa Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kwa kuguswa na mambo ya kijamii,huku akiwaomba kuzidi kuwa
Katika siku ya mvua katika Ukanda wa Gaza, Salem, mwenye umri wa miaka 12, anatazama upinde wa mvua wakati wa machweo katika mji wa Rafah.
KATIBU wa Halmashauri Kuu( NEC) Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewataka wananchi wa Mkoa wa Geita kuwachagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi
Kampala. Mwanasiasa mkongwe wa upinzani wa Uganda, Dk Kizza Besigye aliyetoweka Nairobi nchini Kenya Jumamosi na baadaye kudaiwa kutekwa, ameibukia kizimbani kwenye mahakama ya kijeshi
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.
CHUO cha Kodi (ITA), kinatarajia kuwatunuku vyeti wahitimu 417, wa kozi mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haitasita kubomoa majengo yote ya Kariakoo iwapo tume iliyoundwa kuchunguza usalama wake, itashauri ifanyike hivyo. Sambamba