RAIS SAMIA AMJULIA HALI MMOJA WA NAJERUHI AJALI MAPOROMOKO YA GHOROFA KARIAKOO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali na kumpa pole mmoja wa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Novemba, 2024.

Related Posts