TANZANIA,USWISI KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA ELIMU YA AMALI,UTAFITI NA UBUNIFU

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Novemba 20, 2024 amekutana na Waziri wa Elimu, Utafiti na Ubunifu, wa Uswisi Bi. Martina Hirayama ambapo wamezungumzia ushirikiano katika masuala ya elimu ya amali, utafiti na ubunifuĀ 

Waziri Mkenda amesema kuwa Serikali imejizatiti kutekeleza mageuzi yanayolenga kutoa elimu ujuzi ili kuwezesha Taifa kupata wahitimu mahiri kuendana na mahitahi ya ujuzi katika soko.

Related Posts