Bumbuli. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC), January Makamba ameyataja mambo yatakayokibeba Chama Cha Mapinduzi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba
Day: November 21, 2024
Dar es Salaam. Amina Ally (21), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa kesi ya jinai kujibu shtaka la kumuua mtoto wake mchanga
Morogoro. Hatimaye watoto wanne kati ya 15 wa marehemu Neema Kenge (39) wamepata ufadhili wa kusomeshwa shule ya bweni na Kituo cha Buloma Foundation iliyopo
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. WABUNGE wa majimbo ya Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi na wa jimbo la Vunjo Dkt. Charles Kimei na wale wa viti
Dar es Salaam. Shughuli za kibiashara katika maeneo yanayozunguka jengo la ghorofa nne lililoporomoka Kariakoo na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali za mamilioni
Na Mwandishi Wetu MAMLAKA Ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA,) imezindua rasmi jukwaa la uwekezaji la M-WEKEZA ambao ni mradi wa pamoja wa kampuni
Unguja. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff amesema Zanzibar inazidi kufunguka na uwekezaji kuongezeka mwaka hadi mwaka. Amesema
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amesisitiza umuhimu wa kuwa na mikakati endelevu katika kukuza Sekta ya Utalii na Ukarimu hususan
Dar/mikoani. Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zikiwa zimeanza, vyama vimeendelea kunadi sera zake ili kuwashawishi Watanzania kuwapigia kura wagombea
STELLA IKUPA AFANYA ZIARA VITUO VYA WASAFIRISHAJI BAJAJI ZA WATU WENYE ULEMAVU MKOA WA DAR ES SALAAM
MBUNGE wa Viti Maalum, anayewakilisha watu wenye ulemavu Tanzania, Mh.Stella Ikupa, amefanya ziara katika vituo vya watu wenye ulemavu, wasafirishaji abiria kupitia bajaji ndogo na