KATIBU MKUU DKT ISLAM AONGOZA MAJUMUISHO BAADA YA ZOEZI LA USIMAMIZI WA PROGRAMU YA KUENDELEZA KILIMO NA UVUVI AFDP


Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Islam Seif Salum, Ameongoza majumuisho (wrap-up meeting), baada ya zoezi la usimamizi wa Programu ya Kuendeleza Kilimo na Uvuvi (AFDP) inayoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, lililofanywa na Mfuko wa Kimataifa wa Kuendeleza Kilimo (IFAD) na Serikali kukagua maeneo yanayotekeleza Programu ya AFDP.

Kikao kazi hicho kimefanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara ya Fedha Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Novemba 2024.

Related Posts