Simba SC kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation wamerejesha kwa Jamii kabla ya mchezo wao na Bravos

Kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika wa Simba SC dhidi ya Bravos ya Angola utakaochezwa Novemba 27, Simba SC kwa kushirikiana na Mo Dewji Foundation wamerejesha kwa Jamii.

Simba SC leo wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha kutunzia Watoto Yatima cha Mwandaliwa kilichopo Mbweni Jijini Dar es Salaam

 

Related Posts