MUFTI MKUU WA TANZANIA AWASISITIZA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

 


Mufti Mkuu wa Tanzania Shekh Dr. Abubakar Zuberi Amewasisitiza watanzania kujitokeza katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika jumatano hii ya November 27 mwaka huu, kuchagua viongozi wa serikali za mitaa.

Akizungumza na wandishi wa habari Mufti Mkuu Shekhe Dr. Zuberi amesema kupiga kura ni nafasi ya kipekee Kwa Kila mtanzania kuamua mstakabali wa viongozi wake Kwa kipindi Cha Miaka 5 ijayo na kushindwa kufanya hivyo tunajikwamisha wenyewe kwe kuleta maendeleo ya nchi yetu.

Ikumbukwe Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ametanganza siku hiyo kuwa ya mapunziko ili Kila mtu apate nafasi ya kushiriki kupiga kura katika kituo kilichokaribu naye.

Related Posts