Jumanne ya UEFA inakuja kivingine

Baada ya kushuhudia mechi mbalimbali za ligi wikendi sasa ni zamu ya mechi kubwa za Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo timu zitakuwa zikichuana kutafuta ushindi. Na wewe ingia Meridianbet utafute pesa sasa.

Mapema kabisa saa 2:45 usiku AC Milan atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Slovan Bratslava aambaye ndiye kibonde wa michuano hii akiwa kafungwa mechi zote hadi sasa. Milan wana pointi 6 baada ya mechi 4. Je leo hii mwenyeji anaweza kupata ushindi wa kwanza au wageni watapata ushindi?. Mechi hii ina ODDS 14 kwa 1.20. Bashiri sasa.

Muda huo huo, Sparta Prague ya kule Czech Republic itamualika kwake Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao walishinda mechi yao iliyopita. Sparta yeye alipoteza mechi yake iliyopita. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Atletico kwa ODDS 1.64 kwa 5.60. Jisajili hapa.

Jumanne ya UEFA ya imekuja na maokoto ya kutosha. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Baada ya Sporting CP kushinda mechi yao iliyopita nyumbani, leo hii watakuwa tena nyumbani kusaka pointi nyingine 3 dhidi ya Arsenal. Tofauti ya pointi kati yao ni 3. Je Mreno huyo ataendeleza moto wake wa ushindi dhidi ya timu za Arteta?. 3.20 kwa 2.25 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Vilevile kuna mechi kali kabisa kati ya Bayern Munich dhidi ya PSG ambapo mara ya mwisho kukutana, Paris alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi na kupata ushindi baada ya kupigika mechi yake iliyopita. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.57 kwa 5.20. Jisajili hapa.

Pia katika dimba la BayArena, Bayer Leverkusen watachuana vikali dhidi ya FC Salzburg ambao wamehsind amechi moja pekee. Vijana wa Alonso wanahitaji ushindi huu wa leo nyumbani ili kujiweka kwenye nafasi nzuri. Beti yako unampa nani leo?. 1.20 kwa 14 ndio ODDS za mechi hii.

Nao vijana wa Inzaghi, Inter Milan watawaleta kwao RB Leipzig kutoka kule Ujerumani. Inter walishinda mechi yao ya mwisho huku RB yeye alipigika vibaya sana. Kila timu inahitaji ushindi hii leo, lakini mabingwa wa ubashiri Tanzania wao wanampendelea Inzaghi kushinda mechi ya leo kwa ODDS 1.46 kwa 6.80. Suka jamvi hapa.

Wakati Manchester City wao ambao wmaepoteza mechi 5 mfululizo kwenye mashindano yote, leo hii watakuwa Etihad pale kupepetana dhidi ya Feyenoord kutoka kule Uholanzi ambapo tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee huku mara ya mwisho kukutana, City aliondoka kinara. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Atalanta chini Gasperin watakuwa ugenini leo dhidi ya Young Boys Bern ambao wamepigika mechi zote walizocheza hadi sasa. Atalanta wapo nafasi ya 9 huku wakiwa na upendeleo wa kushinda hii leo. Bashiri mechi hii yenye ODDS 7.80 kwa 1.40.

Pia Barcelona nao wataumana dhidi ya Brest 29 kutoka kule Ufaransa ambao wapo nafasi ya 4 na Wakatalunya wao wapo nafasi ya 6 huku tofauti yao ikiwa ni pointi 2 pekee. Barca anahitaji ushindi leo hii ili ajiweke kwenye nafasi nzuri. Je mgeni anaweza kumzuia kushinda?. Mechi hii ina ODDS 1.17 kwa 15. Jisajili hapa.

About The Author

Related Posts