BALOZI NCHIMBI AKIPIGA KURA DODOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024.  

Related Posts