NAIBU WAZIRI LONDO ASHIRIKI KUPIGA KURA KATIKA KITONGOJI CHA MJI MPYA MIKUMI

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki anayeshughulikia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Dennis Lazaro LONDO (Mb.) ambaye pia ni Mbinge wa jimbo ka Mikumi, leo tarehe 27 Novemba, 2024 ameshiriki kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kitongoji cha Mji mpya jimboni kwake mikumi.


Related Posts