Rais Dkt. Samia apiga kura katika Kituo cha kupiga kura kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024.

Related Posts