Habari RAIS SAMIA APIGA KURA UCHAGUZI SERIKLI ZA MITAA CHAMWINO JIJINI DODOMA LEO November 27, 2024 Admin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024. Related Posts Habari Kila mtu ni mstaafu mtarajiwa anayepaswa kuyafanyia kazi ya wastaafu January 16, 2025 Admin Habari Fidia kupisha ujenzi uwanja wa ndege Musoma yaanza kulipwa January 16, 2025 Admin