Picha: Kutoka kwenye uzinduzi wa ‘SAMIA INFRASTRUCTURE BOND’ Mlimani City DSM

Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua SAMIA INFRASTRUCTURE BOND patika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam.

Huku Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ambae atawasili katika ukumbi huu kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia alivyowasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City ambako Uzinduzi wa SAMIA INFRASTRUCTURE BOND unafanyika.

Samia Infractructure ni hatifungani maalum ambayo itaweza kuwasaidia wakandarasi hasa walioko chini ya TARURA kuweza kupata pesa ya kuweza kufanya miradi kwa umakini.

Kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa Biashara Boma Raballa alisema.. ‘tunafanya tukio hili tukiwa sisi kama benki ya CRDB lakini tuko na wenzetu kutokea TARURA ambao wako chini ya TAMISEMI na kuhakikisha kwamba tunaweza kutoa huduma ambayo ni bora na itawawezesha wateja wetu ambao ni wakandarasi kuweza kutoa huduma ambayo inawawezesha kujenga barabara nzuri zaidi”

 

Related Posts