Naibu Waziri wa nchi ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Stanislaus Nyongo ameongoza hafula ya kumbukizi ya kuwaombea Ndugu na jamaa mbalimbali waliotangulia mbele ya haki Kwa mwaka huu 2024, katika viwanja vya lidazi Jijini Dar es salaam
Akizungumza baada ya kutamatika Kwa shughuli hiyo Nyongo amesema hili ni jambo jema ambalo jamii inapaswa kuliendeleza ili kuwaombea Ndugu ikiwa pia ni njia nzuri ya kujenga udugu na kuendeleza Aman ya nchi yetu.
Nao baadhi ya washiriki wamepata nafasi ya kuzungumzia na kuwahimiza watanzania kujitokeza kuunga mkono jambo Hilo linalofanyika Kila mwaka ikiwa ni msimu wa kumi Sasa.

Jeff Nassa ambaye ni mratibu wa sherehe hiyo amesema tamasha Hilo limebeba ujumbe mzito katika kukumbushana mienendo yetu na mwisho wetu baada ya maisha ya hapa Duniani
Sherehe hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini ambao waliongoza Dua na Maombi Kwa warehemu wote waliotangulia mbele za haki
Matukio mbalimbali ya picha