Dar es Salaam. Katika msimu wa 2024/25 wa Ligi Kuu Bara, washambuliaji wa kati wa timu kubwa za Simba, Yanga, na Azam bado wanakabiliwa na
Month: November 2024
RAIS Dkt.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua mkutano wa Kimataifa wa wahasibu wakuu wa Serikali kutoka nchi 57 barani Afrika unaotarajiwa kufanyika kuanzia Disemba 2 hadi
HOSPITALI ya Rufaa Kanda ya Mbeya (MZRH) imeandaa bonanza la michezo mbalimbali itakayopambwa na wazee wenye umri wa miaka 60 kufukuza kuku na kuvuta kamba.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali wakati wa kikao cha nane mkutano wa 17 wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku
Dar es Salaam. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limeeleza kusikitishwa kwake na mwenendo wa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa kutohudhuria
Chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, imepiga hatua ya kihistoria kuelekea mfumo wa kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama inavyoonekana katika
Alhamisi ni kwaajili ya mechi za EUROPA na leo hii kuna mechi zaidi ya 10 ambazo zinaenda kukupatia mkwanja wa maana. Usipitwe na ODDS KUBWA
Mwanza. Katika kipindi cha Januari hadi Juni, 2024 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika mikoa mbalimbali nchini imetoa taarifa za utekelezaji wa
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), umeendelea na utaratibu wake wa kujengea uwezo wanawake viongozi katika Mamlaka za serikali za Mitaa ili waweze kuendeelea kubeba agenda