MJADALA hapa ni uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars ambacho kitacheza mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 dhidi ya
Month: November 2024
JUKWAA la Wahariri nchini (TEF), limemtahadharisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa kuacha tabia ya kutoshirikiana na taasisi za habari
Nchi za afrika ndizo zinazotajwa kuwa na mzigo mkubwa wa ongezeko la taka za kielektroniki kutokana na kutokuwa ujuzi na zana za kisasa kuzifanya taka
Geita. Uchunguzi uliofanywa na kamati ya maafa ya Wilaya ya Geita umebaini chanzo cha mafuriko yaliyotokana na mvua iliyonyesha kwa saa moja ni ujenzi kwenye
MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari amesema Serikali inatambua mchango wa wafanyabiashara wilayani humo katika kukuza uchumi wa wilaya na nchi kwa ujumla.
Iringa. Serikali imejenga uwezo wa wadadisi na wasimamizi wa utafiti wa kilimo 178 kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha sera
Wakuu wa mataifa na viongozi wengine wa ngazi ya juu kote duniani wakiwemo kutoka barani Afrika wamempongeza Donald Trump kwa ushindi wake. Rais wa Misri
Dar es Salaam. Donald Trump amekuwa kikwazo kwa wagombea wanawake kuingia Ikulu ya White House, ndivyo unavyoweza kusema kutokana na ushindi wake dhidi yao anapogombea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameendelea na ziara ya kikazi nchini China ambapo leo amekutana na
Muungano tawala wa Ujerumani ulisambaratika baada ya miaka mingi ya misuguano kufikia kilele chake kuhusiana na sera ya kiuchumi na bajeti katika taifa hilo kubwa kabisa