Wiki hii kumekuwa na maendeleo chanya kwenye masoko ya fedha na mitaji ambapo tumeshuhudia uwepo wa fursa za uwekezaji kupitia vipande, hatifungani na pia hisa.
Month: November 2024
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Profesa Shadrack Mwakalila amewataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo 2024/25 wa Chuo hicho kuwa Wadilifu,Waaminifu
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WANAHARAKATI wa Jinsia na Maendeleo wameshauri kuwaunga mkono wanawake ambao wameteuliwa na vyama vyao kutokana na kukatwa majina ya wanawake
Serikali kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) imewezesha mafunzo Walimu Wakuu 17,793 katika Mikoa 26 ya Tanzania Bara kuhusu uongozi na
Kwanza, kama ilivyo kwa utamaduni uliozoeleka kwenye mataifa ya kidemokrasia, Bibi Harris alimpigia simu Trump kukubali kushindwa na kumpongeza rais huyo wa zamani wa Marekani
Ushirika ni chombo muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kupitia ushirika, jamii nyingi kwa pamoja zimeweza kufanikisha malengo ya kiuchumi, kupunguza umaskini, na kuongeza
Wakati Kamala Harris anaongoza kwa asilimia 1-2 katika kura za umma, mfumo wa kura za wajumbe wa majimbo unaojulikana kama Electoral Colleage, unawapa faida Warepublikani,
Dar es Salaam. Tanzania imepanga kuwafikia diaspora wafanyakazi milioni moja ifikapo mwaka 2028. Pia inataka diaspora hao ambao ni Watanzania waishio ughaibuni kuchangia Dola 1.5
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
YANGA kwa mara ya kwanza msimu huu, inashuka uwanjani katika Ligi Kuu Bara bila ya mabeki wawili wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca, itakapoikabili