Msaidizi mwandamizi wa Harris ambae hakutajwa jina alisema mgombea wa Democratic “amejadili na Trump umuhimu wa kukabidhiana madaraka kwa amani na kuwa rais wa Wamarekani wote.” Donald
Month: November 2024
Mwanza. Zikiwa zimesalia siku 21 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, viongozi wa dini wametakiwa kujitenga na kutoonyesha upendeleo kwa vyama
Dodoma. Suala la matumizi mazuri ya Serikali limeendelea kupigiwa kelele na wabunge huku Mbunge wa Mwanga (CCM), Joseph Tadayo akitaka mihimili mitatu ya dola kukaa
Dar es Salaam. Ugumu wa kuagiza bidhaa mtandaoni, utapeli na usalama mdogo wa malipo ya mteja imeifanya Kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania kushirikiana na
SHIRIKA la Grumeti Fund kupitia Idara ya Maendeleo ya jamii limejivunia mafanikio yake katika kutoa elimu ya kijinsia kwa vijana wa kike na wa kiume
Maoni by Jomo Kwame Sundaram (kuala lumpur, Malaysia) Jumatano, Novemba 06, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Nov 06 (IPS) – Licha ya muunganiko
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO NOVEMBA 7,2024 About the author
Dar/Mikoani. Kilio cha ukosefu wa huduma ya maji kimeendelea kusikika nchini, huku baadhi ya wananchi wakiandamana kupaza sauti wakitaka mamlaka husika kutatua kero hiyo. Wakati
Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Tabata jijini Dar es
Unguja. Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA), imetaja sababu tatu za kupandisha bei ya nauli ya boti za mwendokasi zinazofanya safari zake kati ya Unguja na