Shinyanga. Kaya 2,970 katika Mkoa wa Shinyanga zinatarajia kufaidika na mradi wa umeme wenye thamani ya Sh11.18 bilioni unaotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
Month: November 2024
Mkuu wa Afya kazini kutoka Wizara ya Afya, Joseph Birago na Makamu Mkuu wa MUHAS, Profesa Apolinary Kamuhabwa wakitoa zawadi kwa washiriki wa tafiti mbambali
Dodoma/Dar. Wakati mgombea urais wa Republican nchini Marekani, Donald Trump amerejea Ikulu, ushindi wake wake umeelezwa kuwa na athari mpya kwa Afrika, hasa katika masuala
KUNA maswali? Ndivyo mashabiki wa Simba walivyokuwa wakihoji kwa furaha kwenye Uwanja wa KMC, wakati timu hiyo ikiikandika KMC kwa mabao 4-0 na kupanda kileleni
Donald J. Trump ndiye rais mpya wa Marekani, akishinda kura za kutosha za wajumbe maalum wa majimbo (270 zinahitajika ili kushinda) kujitangazia ushindi wa uchaguzi
Buchosa. Kunyeshewa mvua, kubanana pamoja na kubeba abiria na mifugo kwa wakati mmoja ni miongoni mwa adha wanayokutana nayo wakazi wa Kisiwa cha Kome Halmashauri
Vodacom Tanzania Plc imetangaza rasmi kuingia katika ushirikiano wa kidijitali na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kwa kuzindua programu ya DSE Mini
Maoni na Jan Lundius (Stockholm, sweden) Jumatano, Novemba 06, 2024 Inter Press Service Inadumu zaidi kuliko shaba, juu kuliko ya Faraopiramidi ni mnara ambao nimeunda,umbo
Tabora. Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa miundombinu ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Mkoa
Kiongozi huyo mwenye mtazamo wa kizalendo anatarajiwa kuongoza nchi hiyo tena kwa kipindi cha miaka minne, ambapo atakuwa karibu na washirika wake wa kisiasa na