Afisa mfawidhi wa Mamlaka ya uthibiti wa usafiri ardhini (LATRA) Mkoa wa Morogoro Andrew Mlacha amesema ajali nyingi zinazotokea barabarani zinasababishwa na makosa ya kibinadamu.
Month: November 2024
Dar es Salaam. Katika kila jamii inayothamini maendeleo na haki, uchaguzi ni mchakato wa kipekee unaowezesha kila raia kuchagua kiongozi atakayesimamia vipaumbele vya jamii. Uchaguzi
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, CP. Nicodemus Tenga, amewataka wazazi kutenga muda wa kuwa karibu na watoto wao, ili kuwapatia malezi bora na
MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Abalkassim Suleiman amesema anajutia kitendo cha kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo wa juzi dhidi ya Pamba, huku akiweka wazi, ndio chanzo
Tel Aviv. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mkewe Sara wamempongeza Donald Trump kwa ushindi wa urais katika uchaguzi mkuu wa Marekani, licha ya
Arusha. Wito wa kuongeza watafiti wanawake umetolewa kwa nchi za Afrika ili kupunguza vikwazo ikiwemo unyanyasaji wa kijinsia, ukosefu wa upatinakaji wa fedha za ruzuku
Ushindi wa Mrepublican huyo mwenye utata, ukifuatia moja ya kampeni zenye uhasama zaidi katika historia ya kisasa ya Marekani, ulikuwa wa kushangaza zaidi ikizingatiwa mkururo
Florida. Mgombea urais wa Republican, Donald Trump amejitangazia ushindi katika uchaguzi wa Marekani alipokuwa akiwahutubia wafuasi wake waliojawa furaha huko Florida wakati kura katika majimbo
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars‘, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameita kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kesho kwa ajili ya
Minnesota. Huldah Momanyi Hiltsley, mzaliwa wa Kenya, ameweka historia kwa kushinda kiti katika Baraza la Wawakilishi la Minnesota kwa zaidi ya asilimia 64 ya kura.