MSHAMBULIAJI wa zamani wa Azam FC, ambaye kwa sasa anakipiga MC Alger, Kipre JR amewaambia wenzie kwamba Stephane Aziz Ki na Prince Dube kuwa ndio
Month: November 2024
Meridianbet Foundation leo imetimiza miaka mitano ya kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii kupitia kwa kufanya udhamini wa kielimu (Scholarship) kwa vijana ambao wamekua wakifanya vizuri mashuleni.
Harris, makamu wa rais wa sasa wa chama cha Democratic, na Trump, rais wa zamani anaepeperusha bendera ya Republican kwa mara ya tatu mfululizo, walitumia
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40), maarufu Dk Manguruwe na Mkaguzi wa kampuni hiyo, Rweyemamu John (59) wamefikishwa
Danny Danon, Mwakilishi wa Kudumu wa Israel katika Umoja wa Mataifa akihutubia katika mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu hali ya Mashariki ya Kati. Credit:
Mfumo wa kura za wajumbe wa kamati maalum ya uchaguzi ulianzishwa na waasisi wa Katiba ya Marekani mwaka 1787, wakati huo Marekani likiwa ndio kwanza
Dar es Salaam. Watanzania wametakiwa kuzingatia matumizi bora ya umeme kwa kuacha kutumia vifaa vingi kwa wakati mmoja kama havina ulazima ikiwamo pasi, redio na
Dodoma. Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amesema uwezo wa kuzalisha umeme uliounganishwa kwenye gridi ya Taifa sasa umefikia megawati 2,607 na mradi wa kufua
Dar es Salaam. Msanii wa muziki, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu kama Chuma wa Chuma, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini hapa, kujibu shtaka
Na Oscar Assenga, Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dk Batilda Burian, amewahimiza Wakuu wa Wilaya na Wasimamizi wa Uchaguzi mkoani humo, kuhakikisha