Mamlaka ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inashiriki Maonesho ya “World Travel Market London 2024” ambayo yanafanyika katika jiji la London, Uingereza kuanzia tarehe
Month: November 2024
MFUGAJI maarufu nchini pia Mmiliki wa Kampuni ya Vanilla Internation Ltd Simon Mkondya (40), ‘Dk Manguruwe’ na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
KATIBU wa Chama cha NLD Taifa Doyo Hassani Doyo ameiomba Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) kuwa makini na uchaguzi wa Serikali
EAGLES imetinga fainali baada ya kuifunga Young Profile kwa pointi 73-51, katika nusu fainali ya pili ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza (MRBA), katika
WIKENDI imeisha sasa na Jumanne ya leo Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuendelea mabpo timu kali leo zipo uwanjani kusaka pointi 3 muhimu. Na
TBT imetawazwa mabingwa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Kigoma, baada ya kuifunga Wavuja jasho kwa pointi 62-61, katika fainali ya tano iliyofanyika Uwanja wa Lake
SERIKALI ya mitaa nchini Korea Kusini imefuta hafla kubwa ya kimataifa iliyokusudia kuwaleta pamoja washiriki 30,000 kutoka nchi 78, jambo ambalo limeibua mjadala mkali
Hadi sasa haijawa wazi iwapo wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaweza kuingizwa vitani katika maeneo ya Ukraine au katika maeneo ya Urusi yaliyotwaliwa na Ukraine, yanayojumuisha sehemu
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kwa jina la Dk Manguruwe na mkaguzi wa kampuni hiyo, Rweyemamu
KATIKA kukuza ufanisi wa operesheni za kampuni ya Airtel katika soko la Tanzania na nchi zingine barani Afrika, imemchagua Charles Kamoto kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya